Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,225
- 76,750
Barca ni wazuri? NdiyoSawa nakubali haya yote uliyosema hapa, ila point yangu hapo ni kwamba Inter defense yao ni ngumu sana, na hawaruhusu uwasogelee lango lao mara kwa mara, ndio maana hata goli walizofungwa ni chache sana... na pia kingine defense approach mnayotumia (high line) mkikutana mastrikers wanaojua kucheza offside tricks mnakufa nyingi sana.
Pamoja na hivyo ngoja tusubiri Nusu fainali si tarehe 28 tu hapo(maana mpaka sasa hivi wanaocheza nusu wameshafahamika)
Wanafungika? Ndiyo
Story iishie hapa