Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hawa watafika mbali kweli?

Screenshot_2025-05-11-10-50-23-750_com.twitter.android-edit.jpg
 
Humu kinachofurahisha ni mambo ya usajili yanaanza mapema sana kuliko team yoyote ile , wakati Newcastle akishangilia carabao, man city FA cup, Liverpool EPL chelsea conference, man utd or spurs Europa parade mbalimbali za ubingwa wao wapo bize na transfers .
Kichekesho zaidiii hata hio transfers wanaambuliq magarasa , watu wakianza kutafuta ubingwa wao wanasubiri transfer ya january 😂😂 watu wako busy kutafuta medali
 
Mkorea yupo wapi alipiga hesabu valid kabisa akaongeza na supercomputer kabisa akatuambia leo ndo siku arsenal anachukua ubingwa pale anfield 😂😂.
Hawa jamaa ni mabingwa wa supercomputer maana toka kiongozi mkubwa aroon arsenal, hamiss na sasa mkorea wao ubingwa wa supercomputer wamehubiri sana humu.

FALSE HOPERS leo mnajipanga kuwapigia mabingwa makofi daah japo mlihubiriwa humu leo ni siku ya kunyanyua makwapa ila hamkuuliza hayo makwapa mnanyanyua kwa ajili ya nini , sasa rasmi makwapa mnanyanyua kwa kuwapigia liverpool makofi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom