Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,895
- 11,288
UCL ni kombe la sisi Majogoo sio haobaada ya kumng'oa Madrid, Arsenal jiandaeni kunyanyua kwapa
Hapo bado kuna mtu anaweza sema hawezi yaogopa Majogoo ya Anfield?
UCL ni kombe la sisi Majogoo sio haobaada ya kumng'oa Madrid, Arsenal jiandaeni kunyanyua kwapa
Hio furaha unayo?? Furaha huijui ww kama kushinda match mbili tatu pasipo kombe hata soton wanashinda.Kwangu Mimi nimejifunza sana katika maisha kufurahia moments.
Kwa sisi ambao tuna 30yrs tunasaport team hii kwetu arsenal sio makombe ila ni furaha.
Ndani ya miaka 15 iliyopita huu inawezekana ulikuwa Moja ya misimu yetu Bora saana
Hoja nzuri. Sisi tugeuke kuwa watembeza vichapo tu ndicho kitakacho wanyamazisha haters.IG mashabiki wa Arsenal wanalalamika kwamba ingawa Arsenal ilifanya guard of honour out of respect ila matokeo yake mashabiki wa Liverpool waliamua kufanya hate banter kuanzia pale uwanjani mpaka online.
Kwa kawaida mabango hua yanakaguliwa kabla ya kuruhusiwa shabiki kuingia nayo. Kutokana na hili naona Arsenal fans online wakiongelea kwamba Liverpool kwa ujumla wake walibariki banners etc.
Swali langu ni hili "How about we win?" It's true Arsenal tukishinda tunaambiwa tumemfunga dhaifu lakini tunatakiwa kujali? If we win tunatakiwa kujali?
So, hizo hate banter ziendelee. Kama aibu itatosha kufanya wachezaji, bodi na kocha akili zishtuke basi acha ziendelee.
Usitupangie. Wewe kama huwezi kufurahia kushinda mechi mbili kama mashabiki wa Southampton basi shida ni yako usitulazimishie.Hio furaha unayo?? Furaha huijui ww kama kushinda match mbili tatu pasipo kombe hata soton wanashinda.
Furaha inatoka wapi kama hata wachezaji wanaotakiwa kuleta furaha wao pia hawana furaha? Umesahau kina saka juzi hapa na PSG machozi yanawatoka , mwaka juz ben white na odergard wanajitupa chini game ya soton 3:3 mwaka jana saliba anasonya tu machozi juu .
Unakuja na false hope ya furaha daah 😆
Furaha ya mpira wa miguu kwa players na fans ni trophies na si vinginevyo
Ivi tunamhitaji sana zubi kwa kias ichi cha kukubali kutoa 60 mapema ivi.
NIlitegemea usajil huu watatusurprise na big name kwenye wing au striker
vuta picha kusengekua na mashabiki wa mpira kama mimi duniani, unadhani izi tim zingeendelea kuwepo ?Iyo 60 wewe umechangia ngapi?
Mi naona better aje sesko, jamaa ni mrefu(aerial threat) ni msaada tukitumia cross kwa low block teams, pia nimemchek kwenye mechi chache ni presser mzuri na ana speed kuliko victorWakati tayari official bid imeenda upande wa Gyokeres kuna taarifa zimezuka kwamba Arteta anapingana na Berta juu ya ujio wa Gyokeres.
Arteta anamtaka Sesko
Mi naona better aje sesko, jamaa ni mrefu(aerial threat) ni msaada tukitumia cross kwa low block teams, pia nimemchek kwenye mechi chache ni presser mzuri na ana speed kuliko victor