Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Hata timu yetu ya wanawake mabeki wana uzubavu kama wanaume
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mabingwa watarajiwa wanapelekewa moto
HakikaKuna chances mbili tulikosa.
Hizo zimaanishe hiyo bid ya Gyokeres ikomaliwe
Game management.Kwa nini tunaingiza mabeki?