Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Yaani mkaingia mkajipanga mkaanza kupiga makofi 😂😂 , wakati si tunawapiga liverpool kuchukua carabao , nyinyi mnajipanga kupiga makofi ila arsenal fans mnatia huruma sana.
Makofi tunawapigia na mabao tunawapiga pia. Bahati yao tu leo tulikula kadi nyekundu ila maji wangeita mma.
 
Makofi tunawapigia na mabao tunawapiga pia. Bahati yao tu leo tulikula kadi nyekundu ila maji wangeita mma.
Ulisoma ujumbe wao lakini 😆
 

Attachments

  • IMG_2983.jpeg
    IMG_2983.jpeg
    1.3 MB · Views: 25
Kuna kenge zinapata nguvu ya kujiaminisha zina msimu mzuri kuliko arsenal

Kwa format ya zamani hawavuki RO16 kwenye iyo EL
20250512_082202.jpg
 
Kuna kenge zinapata nguvu ya kujiaminisha zina msimu mzuri kuliko arsenal

Kwa format ya zamani hawavuki RO16 kwenye iyo EL
View attachment 3331477
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Timu zote za England zinazocheza fainali mashindano ya ulaya jana zimefungwa goli 2-0, basi kwa akili ya ya Arsenyau umejua ni coincidence.
Huu ulimwengu una siri nyingi broo, kuna mambo yanawezakua planned miaka 10 huko nyuma halafu wewe huna habari.
1747036622156.jpg
 
Ukiona wapinzani wanashauri mfukuze kocha we jua tu huyo kocha ni mzuri.

Wanafiki tulishauri sana nyumbu wasimfukuze ole walivyotushtukia wakamfukuza. Akaja eriki kichwa ngumu tukakomaa asifukuzwe wakatushtukia wakamtimua.

Kocha mbaya lazima tukubembeleze ubaki naye
 
Nyie wajinga kila mwaka "this is our season"
Hamji chukua kombe lolote
Majogoo ya Anfield yatachukua EPL back to back mara 6
 
Next game na mijusi bila Trossard wala Merino.

Namba 9 anakua Martinelli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom