Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

IMG-20250409-WA0015.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndugu yangu mkorea usijiaminishe sana, kumbuka hili litimu lenu halishindwi kuwafanyia surprise pale Santiago Bernabeu mpaka ukahisi roho inataka kuachana na kiwiliwili.
Aje psg nusu fainali, aston villa anakuaga mchawi mchawi sana

Fainali namtaka barca. Arsenal kiboko ya mabishoo
 
Sema tu vinici.. hakuwepo game ijayo akiwepo hatoki mtu.

Hints.
Timber ana nguvu akili utulivu na kasi

Partey ni kiungo bora sana kwa leo yy ndo kawa playmaker wa pasi zote zinazofika kwa Bukayo

Arsenal ni Bukayo bukayo ni Arsenal

Rice ameonesha anachofanya mazoezini yaani amebadilisha imagination kuwa realities

Merino kucheza kama namba tisa ni surprise kwa wengi sana

Arsenal msimu ujao itafute strka itakuwa team nzuri sana na unstoppable
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom