hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,477
- 12,028
Jidanganye.Nah bro.
We have the best defense in the world.
Zile goli za counter watazikosa utashangaa
Jidanganye.Nah bro.
We have the best defense in the world.
Zile goli za counter watazikosa utashangaa
Kabishane na takwimuJidanganye.
Sawaa mkuu pita kwanza kwa PSG😀Nah bro.
We have the best defense in the world.
Zile chance za counter watazikosa utashangaa
Sawa omba tukutane.Kabishane na takwimu
𝐉𝐮𝐫𝐫𝐢𝐞𝐧 𝐓𝐢𝐦𝐛𝐞𝐫 𝐯𝐬. 𝐕𝐢𝐧í𝐜𝐢𝐮𝐬 𝐉𝐫. 

goals
assists
shots on target
chances created
key passes
successful dribbles
accurate crosses
Mashabiki wa siku hizi ni clueless.Sawaa mkuu pita kwanza kwa PSG😀
Last time Arsenal vs BarcelonaSawa omba tukutane.
Japo najua hatuwezi kukutana.
Safari yako inapoishia inajulikana.
Japo wengi mnajitoa fahamu kuona mnawaweza PSG kisa mliwafunga kwenye makundi.
Aaaah aah kijana unaongelea mechi ya kirafiki tena kocha akiwa Xavi Barca iliyokuwa inajitafuta.
Huyo ni kada wa arsenal ambae ukimuona tu jua nyumbu na kenge kazi wanayo
Flano


Aaahhhhh waaapi, Masingeli ni muoga kunguru kasingiziwa.Hizo zote ulizopost ni kweli zilitokea.Aaaah aah kijana unaongelea mechi ya kirafiki tena kocha akiwa Xavi Barca iliyokuwa inajitafuta.
Baada ya mechi hii Xavi alilalamika Arsenal mlikuwa serious kuliko alivyotarajia kwenye mechi ya kirafiki.
Sasa nakuonesha mechi za maana sio hili bonanza lako.
View attachment 3298723
Hiyo ni mechi ya robo fainali UCL.
Aggregate ilisoma 6-3
Mwaka huo mimi ni bingwa nimemchakaza man u fainali.
View attachment 3298727
Hii ni fainali CL nimekufumua nimebeba ndoo.
View attachment 3298727
We leta hata mechi moja serious uliyomfunga barca ukiachilia mbali hiyo mechi yako ya kirafiki uliyokamia.
Tabia ni ile ile haijaisha.
Arsenal itaambiwa ukikutana na A, umekwisha. A atapigwa utasikia sasa msubiri C. C atapigwa pia.
NIliwahi sema, let's enjoy our ball. Clueless fans and the like watatafuta pa kwenda kumwagia machozi yao.
Wewe ngoja tu tubahatike kumchapa Madrid wiki ijayo na kuingia nusu fainali. Mimi mwenyewe nitahakikisha naingia kila jukwaa na kuanza kutangaza kuwa ubingwa wa UCL haututoshi sisi timu kubwa kama Gunners na kwamba rasmi tunaanza kuifukuzia EPL pia ili tubebe double.Aseno muwe na akiba ya maneno sasa!
Hivi ikitokea mmeshinda kombe lenyewe si mtasema UCL sio size yenu kabisa!
Barcelona sio timu ya kututishia nyau hata kidogo, Barcelona bila Messi hamna sumuAaaah aah kijana unaongelea mechi ya kirafiki tena kocha akiwa Xavi Barca iliyokuwa inajitafuta.
Baada ya mechi hii Xavi alilalamika Arsenal mlikuwa serious kuliko alivyotarajia kwenye mechi ya kirafiki.
Sasa nakuonesha mechi za maana sio hili bonanza lako.
View attachment 3298723
Hiyo ni mechi ya robo fainali UCL.
Aggregate ilisoma 6-3
Mwaka huo mimi ni bingwa nimemchakaza man u fainali.
View attachment 3298727
Hii ni fainali CL nimekufumua nimebeba ndoo.
We leta hata mechi moja serious uliyomfunga barca ukiachilia mbali hiyo mechi yako ya kirafiki uliyokamia.View attachment 3298736