Sio kwa yowe lile nililopiga, nyie nililia, sikulala ile siku, naona maruwe ruwe, kitanda km kinazunguka vileeeUlipiga yowe 😀😃😃😃
Huu unyama anaoufanya PSG hata angekuwepo Rosisky, flamini, Mertesacker, Ozil au hata Van Persie haitoboiPengo la Partey ni kubwa sana
Pole sana Hilo yowe hata Mimi nililitoa siku ile psg anatupiga sie Liverpool sio powa nilikuwa naona mauza uza kama hiviSio kwa yowe lile nililopiga, nyie nililia, sikulala ile siku, naona maruwe ruwe, kitanda km kinazunguka vileee
Woiiiiiih 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂Pole sana Hilo yowe hata Mimi nililitoa siku ile psg anatupiga sie Liverpool sio powa nilikuwa naona mauza uza kama hiviView attachment 3320200
Wapo na Hali mbayaMashabik wa arsenal mbona hawatak ku reply kweny uzi wao pendwa
NimekubaliPSG watapata ushindi mwembamba
Game ijayo wanaweza kula 5😀😃😃😂😂😂😂😂
Arsenal, walitaka wafanye km citizens mwaka jana, wasijue UEFA sio premier. Lol
PSG anaelekea kuku prove wrong.Wewe unahisi baada ya Madrid timu gani itaizuia Arsenal?
NashauriHuu uzi ufutwe kwa sababu arsenal wamekimbia
Wee subiri wakafike pale Paris, watajua hawajui. LolGame ijayo wanaweza kula 5😀😃😃
Mmhbaada ya kumng'oa Madrid, Arsenal jiandaeni kunyanyua kwapa
Subiri siku icheze arsenal women utaona wadau watakavyojaa humu 😂😂Huu uzi ufutwe kwa sababu arsenal wamekimbia
😀😃😃😃Mmh
Kwapa lipi?
Hiyo ndio raha ya UEFA🤣...mimi nakumbuka fainali ya 2005 Liverpool anarudisha goli 3 dhidi ya Milan halafu wanabeba kombe ile mechi aisee nusu nizimie nilishangaa nasikia maumivu makali kifuani halafu kama hewa inakata nashindwa kuongea. Nakumbuka nilifakamia konyagi kama sina akili nzuri kupunguza maumivu lakini wapi ....mpaka leo sijawahi kuisahau hiyo gamePole sana Hilo yowe hata Mimi nililitoa siku ile psg anatupiga sie Liverpool sio powa nilikuwa naona mauza uza kama hiviView attachment 3320200
😂😂😂😂😂Subiri siku icheze arsenal women utaona wadau watakavyojaa humu 😂😂
Mkuu sio powa Mimi huwa nalia Kabisa aisee 😀 😀😃😃Hiyo ndio raha ya UEFA🤣...mimi nakumbuka fainali ya 2005 Liverpool anarudisha goli 3 dhidi ya Milan halafu wanabeba kombe ile mechi aisee nusu nizimie nilishangaa nasikia maumivu makali kifuani halafu kama hewa inakata nashindwa kuongea. Nakumbuka nilifakamia konyagi kama sina akili nzuri kupunguza maumivu lakini wapi ....mpaka leo sijawahi kuisahau hiyo game