Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

😂😂😂😂😂🙌🏿
Akiyanani
Nilidhani mko serious
 

Attachments

  • IMG-20201206-WA0062 (1).jpg
    IMG-20201206-WA0062 (1).jpg
    55.9 KB · Views: 20
Tunawakumbusha huko paris Liverpool ali toka na off target 2 on target 1 possession 70 kwa 30 huko ni jela nyengine hawafuniki kibakuli kama bernabeu ila matusi Yake ni yaki comasava
Baelezee baambie baelewe 😃 😃 😃 😃
 
Timu kam Liverpool hairidhishwi na kiwango cha wachezaji kama Luis diaz, Nunez, Jota ila kuna wapuuzi hawa wao wanaamini kabisa Moreno, Trossad na Martinelli ni best na watawapa taji la UCL.
😀😃😃😃😃
 
Arsenal mnajisahau usajili wa dembele ndio usajili ghali kuwai kufanyika ndani ya bundesliga hakuna cha lewandowsk,jude,haaland,marmoush,sancho,kane,thuram,echtike,opendag,sane n.k
 
na hio mechi itakuwa ngumu kwenu sababu huku epl bado hatujamalizana na nyie nafasi ya pili kushuka chini mpaka wa 7 mmepisha point 10 soo hamuwez zarau mechi za ligi huku wenzenu kama kawaida yao wanaweka 1st squad yote bench maana washa beba kombe watakuwa wanacheza 30 mins for match fitness tu sio kukamia then baada ya hapo wanaingia fresh kuwakamia watu waliotoka kwenye fatigue ya kugombania top 5 epl

mbona kazi bado mbichi hii
 
Ila mpira unaweza kuwa chizi ujue, mwaka juzi sie Citizens tunatolewa na Madrid semi final, afu dkk za mwishoni, penalt ya mwsho ya maangamizi anapiga Benzema,

Nyie nilipiga ukunga huo, nyumba nzima walisikia kile kilio, naropokwa hata visivyokuwepo, siku ya 2 campus natukana mate wenzangu km vile sina akili nzuri,

Ba tamu ananiongelesha, namuambia wee Fala em nipotezee bhana, 😂😂😂😂😂😂

Inaumajee.
 
Walisema Liverpool wazembe
Tukasema ngoja waende wao wanaume wa shoka mahodari wabebe uefa.
Naam mii nawaambia watu timu ina mtu kama vitinah hapo kati peke yake anaweza piga pass 100 per match hio ni level zakina rodri ujue afu uje useme uta mdominate weee akiumia huyu hapo kidogo ndo naweza sema mna chance maana hio ndio engine ya psg
 
Back
Top Bottom