Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,242
- 76,781
Mwaka mmoja au kumi mbele itawekwa kwenye rekodi kwamba Arsenal, ikiwa haina ST na majeruhi 5+ ilimtoa Madrid.Nitajiuliza, Hivi ni kweli tulimuachia Arsenane amkimbize Liverpool asitangazwe bingwa mapema?
Kwa muda huo itakua very inspiring. Sasa hivi kutokua na knowledge ya mpira kunawasumbua