Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naangalia mazoezi ya psg hapa. Nawashauri msiingize timu uwanjani.
Wenzao walikuwa wanapiga mazoezi kwelikweli wao wapo busy wanapanga mistari kama foleni ya kuingia kwenye mwendokasi 😂
 

Attachments

  • IMG-20250429-WA0413.jpg
    IMG-20250429-WA0413.jpg
    110.1 KB · Views: 16
Halafu leo mmeharibu mitaji ya wawekezaji wengi sana kwa jinsi mlivyowaaminisha kuwa mnawaweza PSG punda nyie.
 
Msiwakatie tamaa, walishampiga Inter Milan bao 5 kulekule Italy! Mtu sio mbwa jamani.
 
Kama masihara ndo inakutoa hivyo.
Inawezekana ila show bado

Idea ya timu ilikua kuabsorb pressure na kufrustrate forwards wa mpinzani dakika za mwanzo timu ikawa inajaa kwenye box na goli likapatikana dakika za mwanzo hizo hizo.

Baada ya goli tukadrop hiyo tactic na tukasogea golini n.k ila we were not clinical enough. Tukamess up big chances 3 zote.

So we have a chance.
 
Tunawakumbusha huko paris Liverpool ali toka na off target 2 on target 1 possession 70 kwa 30 huko ni jela nyengine hawafuniki kibakuli kama bernabeu ila matusi Yake ni yaki comasava
Liverpool ni viazi.

Observe
 
Castr napata imani wewe ni hamis77 ila umeamua kuongea kwa kupooza kidogo.
Kama sio, basi mnaishi mtaa mmoja au ni classmates.
Prove me wrong bro.
Itakua hujawahi kukuta tukibishana 😅

Ukisoma vizuri utagundua hamis77 ana tabia ya kutafuta uzuri wa kitu hata kikiwa kibaya. Ndiyo sababu tulibishana sana juu ya uwezo wa Kai.

Kuishi mtaa mmoja au classmates sidhani ila kwakua humu ni anonymity imetawala siwezi rule out. Sidhani kama ni classmates kwakua alishawahi post picha yake anaonekana bado mdogo kwangu.

Kuishi mtaa mmoja ni ngumu kwakua hua anapenda kusema kazi anayofanya ambayo kwa mitaa niliyowahi kuishi sijawahi kukutana na mtu anafanya hiyo kazi.
 
Timu kam Liverpool hairidhishwi na kiwango cha wachezaji kama Luis diaz, Nunez, Jota ila kuna wapuuzi hawa wao wanaamini kabisa Moreno, Trossad na Martinelli ni best na watawapa taji la UCL.
Kabisa brother, hawa hawajui kwanini tunawaona wehu, hii Arsenal ingekua na kina Rice na saliba kila position. Wangefanya jambo.

Sasa wanawachezaji wa kawaida wao wanawaona world class. Saka pia ni mchezaji wakawaida.Bado tena badala ya kutafuta word class. Tena wanaongeza mizigo cjui Skelewi cjui Niweri. Ni upuuzi tu wa hawa jamaa.

Na Arteta alivyo tapeli anawaaminisha kuwa tatizo ni Striker tu basiii kazi imeisha
 
Nilisema hapa ongeeni ila siku ya mechi lazima mjambe jambe hovyo mnapanga ratiba ya fainali wakati hamjavuka kigingi cha psg yaani mliichukulia psg wanyela kama Madrid sio jiandaeni na msimu ujao hamna mlichovuna mkicheza top four mtaisikia kwenye bomba
 
Nilisema hapa ongeeni ila siku ya mechi lazima mjambe jambe hovyo mnapanga ratiba ya fainali wakati hamjavuka kigingi cha psg yaani mliichukulia psg wanyela kama Madrid sio jiandaeni na msimu ujao hamna mlichovuna mkicheza top four mtaisikia kwenye bomba
Miamba wanakwambia walimtoa madrid kwaiyo wanaweza kuitoa timu yeyote, bila kujali hata hiyo madrid wameitoa ikiwa na hali gani.
 
Back
Top Bottom