cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Mie match ambazo sitazisahau ni hii ya citizens kutolewa semi final na Madrid.Hiyo ndio raha ya UEFA🤣...mimi nakumbuka fainali ya 2005 Liverpool anarudisha goli 3 dhidi ya Milan halafu wanabeba kombe ile mechi aisee nusu nizimie nilishangaa nasikia maumivu makali kifuani halafu kama hewa inakata nashindwa kuongea. Nakumbuka nilifakamia konyagi kama sina akili nzuri kupunguza maumivu lakini wapi ....mpaka leo sijawahi kuisahau hiyo game
Afu Simba kutolewa na wydad kwa mikwaju ya penalt ktk quarter final CAFCL, chama na Kapombe walikosa, nililia ile siku hatarii.
Hizi game zita zisahau maishani. Lol