Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,300
Hayo maneno wakituletea barcelona tutawapasua wa kina timbulo.ili kama mkitinga fainali muache kauli za kipuuzi eti we are 100% going to beat them huko kwa kina pedri na yamal si mtatolewa ulimi njee