Siku hizi naangalia mechi za timu zingine nikipata access. Jana nilipata access nikacheki games za Nyumbu na Lyon na Lazio na Bodo.
Ingawa jana ilikua siku ya mechi ila uzi wa nyumbu ulikua mtupu. Tangu saa nane mchana, no one dared to say anything. Nilifika uzi wao did a banter or two then left.
Walipokua 2 nil up few of them wakajitokeza mafichoni na kujaribu kuandika kitu. Ilivyokua suluhu wakakimbia tena.
If you look at them closer unagundua sisi pia tuliwahi kua hiyo stage. Tuliwahi kua na jukwaa ambalo hakuna mtu anatamani kuingia, and then Arteta came along saa hii hadi members wa timu zingine wanaingia wanaandika banter.
Kwa nyumbu walichofanya jana kimesababisha mtu kama
ARV kuhisi kwamba yupo kiwango kimoja na Arsenal ya sasa. Kama wanaweza fanya zaidi ya pale hiyo ni juu yao ila Arsenal tumetoka kwenye matope si mchezo. Unaangalia mechi ya nyumbu na Lyon na unaona kwamba yeyote kati yao angecheza na timu yako anafungwa bila ubishi.
It's such a relief