Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana, Kilichoiua Madrid ni ile ya kuwapo Partey, Odegaard na Rice pale kati, halafu Merino yuko pale mbele na anarudi kusaidia midfield. Ndio maana Madrid kina Bellingham, Tchounamen, , Camavinga na Modric wali sanda.
kocha anatakiwa kumtumia Joginho au Calafiori pale kati game ya kwanza na PSG. Sub baadae amlete Zincheko.

Game ya marudiano arudishe winning team na midifield iliyoanza na Madrid game zote mbili.

Msimu wa ze gunners kupeleka kombe London!
viva Arteta
 
Wote tunajua bila PGMOL, EPL ingekua ya kwetu kitambo

Ila ngoja tukabebe CL pia tuna shida nacho hiki kikombe
20250417_124734.jpg
 
Ingekuwa EPL, ile penalty tusingepewa. Merino aliangushwa na wala hakulala na kulalamika bali aliamka chap chap na kuanza kurudi kudefend. VAR wakamuita refa aangalie screen, tukapata penalty yetu halali.

Ingekuwa EPL, ile penalty aliyopewa Mbappe kwa kujiangusha isingefutwa. Rice asingepewa yellow card bali angepewa red card. Pia, VAR wasingeangalia kuwa Mbappe alikuwa offside. Penalty ingepigwa tu tupende tusipende.

Tusisahau kuwa tumeshadhulumiwa zaidi ya 10 points na marefa na VAR kwenye EPL na tungekuwa karibu zaidi ya Liverpool au juu yao kama isingekuwa kwa hizo dhulma zao hao wabaya wetu.
 
Bila Partey kwenye first leg against PSG option ni Jorginho kama atakua fit

Ikiwa bado hatokua fit bora kocha aende na Merino-Rice-Øde, then CF akae Trossard

Kwa compactness ya timu ilivyo, sioni PSG wakifurukuta unless wanataka aibu na wao wakileta mpira wa kupishanaView attachment 3307255

Ninavyoona mimi, kama Rice anakumbuka namna ya kuwa DM, ningependa Rice acheze nafasi ya Partey halafu Merino acheze LCM huku Ode akikaa RCM na Trossard awe CF kwa sababu tu hatuna striker mwingine na napendelea Merino na Rice washirikiane kuwazuia kina Vitinha kuliko Jorginho na Rice.

Katika kushambulia, kama Trossard akiitendea haki nafasi ya striker basi tutakuwa na matumaini.
 
Wote Waingereza. Au alitaka kutaja watatu tu na ikatokea tu kuwa ni Waingereza. Mimi nilifurahia zaidi kazi ya Timber na Kiwior kwa jana na hata ile mechi ya kwanza.

Ila Timber ni noma aisee. Nadhani hata kadi ya njano moja hakupata katika mechi hizi mbili na hapo mwamba kakutana na Vini Jr na Mbappe.
 
Ingekuwa EPL, ile penalty tusingepewa. Merino aliangushwa na wala hakulala na kulalamika bali aliamka chap chap na kuanza kurudi kudefend. VAR wakamuita refa aangalie screen, tukapata penalty yetu halali.

Ingekuwa EPL, ile penalty aliyopewa Mbappe kwa kujiangusha isingefutwa. Rice asingepewa yellow card bali angepewa red card. Pia, VAR wasingeangalia kuwa Mbappe alikuwa offside. Penalty ingepigwa tu tupende tusipende.

Tusisahau kuwa tumeshadhulumiwa zaidi ya 10 points na marefa na VAR kwenye EPL na tungekuwa karibu zaidi ya Liverpool au juu yao kama isingekuwa kwa hizo dhulma zao hao wabaya wetu.
Unajustify uzembe wetu kwa vitu vidogo tu ni kweli EPL tulidhulumia baadhi ya mechi ila tumekosa ubigwa mwaka huu, sababu kubwa majeraha na kutosajili striker wa maana kule mbele tunahitaji Mshambuliaji wa maana na winger mwingine level za Saka hawa Martineli plus Trossard hawawezi kutupa ubigwa ikubukwe ligi ni marathon unatakiwa uwe fit September to May .
 
Hapana, lengo langu siyo kujustify ama kuficha madhaifu yetu bali kusema tu kwamba pamoja na madhaifu hayo, kama kikosi finyu, majeraha, viwango vya chini vya baadhi ya wachezaji, nk, nasema pia kuna uhuni mkubwa tu tulifanyiwa ambao umetuumiza kutoka kwa waamuzi. Ni kuonyesha tu utofauti wa viwango vya waamuzi Ulaya na Uingereza.
 
Back
Top Bottom