Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hio kwa makusudi kabisa umeamua kutunyima kombe letu mabingwa wa Europa 2024/2025?Umeniudhi na sasa nafanya kama Hamisi nakupa laana usiingie top 13 ya EPL na leo Lyon akutoe ili usiingie Ulaya msimu ujao. Na kwa hasira hii hii, hili kombe tumeamua kuwa tunalibeba sasa.
#tukutane Uefa msimu ujao