Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 2,211
- 3,517
Kenge kabisa.Yes.
I hope mtachukua hilo kombe
Kenge kabisa.Yes.
I hope mtachukua hilo kombe
Kwa akili za wale jamaa wangefanya rafu kuepuka aibu ya kufungwa nyumbani.Shida ni kwamba hata asingescore bado mnatoka na unakosa mechi 3
Kwamba mwanaume mzima unajisifia kushiriki Europe league michuano ambayo eti washindani wako ni mid table teams kwenye ligi zao kama Athletic Bilbao,Frankfurt,Sevilla,Roma na Lyon????? Hauoni aibu?Kijana acha kuwafokea mabingwa wa Europa.
Ikifika May ndio utajua tofauti ya mafanikio ya Man Utd mabingwa wa Europa 2024/2025 na Arsenyau bingwa wa top4 na uefa semi final.
timu yao ya wanawake ilikuja imevaa majezi meusi, sijui ya kijivu ikachezea kichapo cha mbwa koko na wenyewe kwa kujiamini eti wakaja wamevaa majezi hayo hayo, acha tuwape dose waliopewa dada zao.Walileta timu yao ya wanawake ikaambulia kipigo pia.
Hawana hamu na Arsenal
Kwamba mwanaume mzima unajisifia kushiriki Europe league michuano ambayo eti washindani wako ni mid table teams kwenye ligi zao kama Athletic Bilbao,Frankfurt,Sevilla,Roma na Lyon????? Hauoni aibu?
Hauoni kwamba sasa hivi umoja wa manyumbu(nyumbu united) tayari na yenyewe imeshakuwa midtable team? Na ndio maana mnashiriki european secondary competition?
Ukishaona mashindano ambayo timu kama Bayern munich,PSG,Inter,Real madrid yaani european heavy weights hazishiriki basi ujue hiyo ni michuano ya watoto, na hautakiwi kabisa kujivunia hata ukiichukua michuano hiyo mara kumi
Wewe unafikiri ni kwanin Sevilla pamoja na kuchukua michuano hiyo mara nyingi lakini hawaheshimika kama moja ya timu kubwa ulaya? Kwa sababu ni bingwa wa michuano ya watoto.
Sasa kumbe nyumbu siku hizi mnajivunia kurudi utotoni? Haya hongereni


Arsenyau acha kudharau kitu ambacho kuanzia wewe, baba yako na babu yako wote hamjawahi kukimiliki.Kule wanaozinguaga ni refs kutoka England huwa ni kichomiIla yule refa mechi yetu na Real very fantastic kanyooka, njoo sasa huku EPL maamae.
Wale vichomi kwa Arsenal tu, sijui kwa nini umbwa wale!!Kule wanaozinguaga ni refs kutoka England huwa ni kichomi
Michael Oliver &Co
Si amevunjika mbavu?Ni Jorginho tu
Sijaona hii update. Kumbe mwana ni injured?Si amevunjika mbavu?
Point kali sana hii.Kwakweli kwa kufika hatua hii ni jambo la kujivunia sana na hasa ukizingatia ni muda mrefu sana umepita hatujafika kwenye hizi late stages za UCL..!! Lakin hatupaswi kuridhika kwa kufika nusu fainali tu hasa ukiangalia hili ndio kombe peked lililoko mbele yetu, aisee bado mechi tatu tu za hii michuano, yatupasa tucheze kufa kupona tusipoteza hata mechi moja na sisi tuweke heshima ulaya
Yes. Anashida kwenye mbavu.Sijaona hii update. Kumbe mwana ni injured?
Sitashangaa mid akicheza Zinchenko au NwaneriYes. Anashida kwenye mbavu.
Nafikiri Merino ndiye atashushwa awe LCM ili Trossard acheze ST. Ila una point hapo, labda LCM anaweza kucheza Zinchenko ili Rice awe 6 na Merino aendelee kama ST...Sitashangaa mid akicheza Zinchenko au Nwaneri
Apparently namna ya uchezaji wa Merino kama false 9 unaipa advantage Arsenal kwenye mid. So lolote linawezekanaNafikiri Merino ndiye atashushwa awe LCM ili Trossard acheze ST. Ila una point hapo, labda LCM anaweza kucheza Zinchenko ili Rice awe 6 na Merino aendelee kama ST...
Hawa akina Moussa Dembele wanakuwa wengi hadi wananichanganya. Ila mimi namkumbuka yule middle wa Spurs ya akina Dempsey ambaye alikuwa hapotezi mali na guu lake la kushoto.Lewis Skelly anafanana vitu vingi sana na Moussa Dembele, similar profile
Atakuwa anamuongelea yule wa Tottenham. Bonge la chezaji. Sikupenda kabisa jamaa kuwa Spurs badala ya kuwa Arsenal.Hawa akina Moussa Dembele wanakuwa wengi hadi wananichanganya. Ila mimi namkumbuka yule middle wa Spurs ya akina Dempsey ambaye alikuwa hapotezi mali na guu lake la kushoto.
Jamaa alikuwa fundi sana sema ndio hakucheza kwenye level kubwa sana hadi anaachana na soka.Atakuwa anamuongelea yule wa Tottenham. Bonge la chezaji. Sikupenda kabisa jamaa kuwa Spurs badala ya kuwa Arsenal.