HENRY14 naona umeamua kuikamatia mikoba ya Masingeli ya kuendeleza false hopes humu, mimi nakukumbusha tu kila lilipokua linakuja suala la ubingwa Masingeli alikua analiongelea kwa overconfidence zaidi yako, ilifikia kipindi Masingeli aliwashawishi misukule yake humu kununua mpaka sare ya vijora vya kusherehekea ubingwa wa Epl 2023/2024
Kilichokuja kumkuta Masingeli hata kuingia kwenye hili jukwaa sasa hivi anaingia kwa kuibiaibia, maana kuna wananchi wenye hasira kali humu muda wote wamebeba vitu vyenye ncha kali wanamsubiria kwa hamu asogeze tu uso wake wale nae sahani moja.
Nahofia na wewe yasije yakakukuta tu kama yaliyokumkuta Masingeli, maana hili timu lenu kwa kweli sio la kulichukulia dhamana kabisa linapokuja suala la kubeba kombe.
View attachment 3309079