Hawa jamaa sijui wamekuja yaan, na inaonekana walijipa uhakika wa comeback hapo bernabeu ila cha ajabu imekuwa comegoawayNa magoli tuliyofunga ni mazuri. Unaziona moves.
Hawa Madrid wamefanya nini cha ajabu?
We mzenge ungeniskiliza fala weweAfu wewe umetoa 3.5 home team🤣🤣
Wale wa sizitaki mbichi hizi, nyie mko wapi kwani?Mmeitoa madrid dhaifu pumbavu zenu.
Wewe jamaa, leo umewewza kujisaidia haja kubwa kweli😂😂😂Mmeitoa madrid dhaifu pumbavu zenu.
walipigwa ban kusajili au vp mkuu. kipigo ni kipigo tu mpirani huku uwe na majeruhi uwe umetimiaMmeitoa madrid dhaifu pumbavu zenu.