Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kosa letu kubwa tulilofanya kama Arsenal fans ni kuwa na timu bora iliyotesa sana Nyumbuz, Kengez na Kukuz (hawa kukuz hatuna beef nao ila wao wanataka beef na sisi). Sasa kuwa na timu nzuri imetuletea balaa mtaani mpaka mitandaoni. Tunachekwa na kuandamwa tukitoa sare na tukifungwa ndiyo kabisaaaa hatupumui.
Jamani, nyumbuz na kengez, hatujawanyima kujiunga na chama kubwa, wababe wa ligi, ze ganaz. Njooni tu huku muepuke mateso ya huko kwenu.
 
Kwenye hili Kocha bado ana cha kujifunza
Hujambo ndugu yangu Bwana tembo
Screenshot_20240415-165524.jpg
 
Arteta anakuambia kama hii loss moja itatuzuia kuinuka na kupambana then hatukustahili kua mabingwa from the beginning.

Hapa ishu siyo sisi. Ishu ni aliye juu yetu.

Atagrant same favour ya kupoteza game kizembe?

Dafuq did we do?

Bayern nao waseme ok hatupo kwenye ligi tunafocus na CL. Mbona tunarudia same mistakes?

Punda kabisa
Bado hamjasema
Narathemaa
 
KAI ni bingwa wa UEFA wewe anastahili namba hapo arse8, hata asipofunga tayari ana goals lake la uefa 😂😂😂😂
Basi KAI ni bora kuliko RONALDO de lima kisa tu kainana UEFA na de lima hana uefa
😂🤣
 
Huwezi kuw unasaka matokeo una kai ndani, mchango wake kwenye kusaka magoli na kutengeneza ni mdogo mnoooo..

Leo kipindi cha kwanza angefunga walau 1.

Kwanza kuna cross ilipigwa yaani ule mpira ni kimo chake, hatimae akaruka kama chura.

Kuna mpira yeye ndio alikuwa mbele, hatimae beki akamkuta na kumzuia.

Mipira mingine mpaka naisahau.

Kacheza LCM lakini ni yupo yupo tu kama mfanyakazi hewa , ye ni kuzuia mpira na kupasia kamaliza,

Ngoja nikatizame updates za wayahudi na wa Persians.
Si mlikuwa mnaambiana team yenu haina Abiria😂😂😂
 
Vile Arsenal fanboys wakipiga mahesabu kuwa Liverpool atafungwa na Spurs, halafu atatoa sare na Everton, then sisi Arsenal tunashinda mechi zetu zote zilizobakia, kwanza tutapiga Chelsea 3 kavu, Spurs tutapiga 2 halafu tutamaliza na Manchester tunapiga 4.

Hapo ni kabla ya kupata Supp kutoka kwa Aston Villa.

OIG3.04TbRjK8WF6oRyCJAl39.jpg
 
Ila huku raha sana...
Kila mwaka, mwenye uhakika wa ubingwa kwa 96% ni Pain Killer. Mpaka akatengeneza ID nyingine ya Herzog ili awe anajiongelesha kwenye uzi wake lakini bado hakuna vibe kama huku, kwa manyumbu, chelkenge na livakuku.

Livakuku na sisi tukejitahidi sana kupambana na kipara ila inaelekea tutafeli tena. Daah.
 
Ila huku raha sana...
Kila mwaka, mwenye uhakika wa ubingwa kwa 96% ni Pain Killer. Mpaka akatengeneza ID nyingine ya Herzog ili awe anajiongelesha kwenye uzi wake lakini bado hakuna vibe kama huku, kwa manyumbu, chelkenge na livakuku.

Livakuku na sisi tukejitahidi sana kupambana na kipara ila inaelekea tutafeli tena. Daah.
Hakuna mtu alizaliwa kuwa shabiki wa Man city
 
Back
Top Bottom