Siwezi kusema arteta mbovu, kwa aliyofanya hapa arsenal ni makubwa, ila tu mapenzi UPOFU yaani kwa kai sijui kaona kipi ambacho sisi hatukioniHatuna kocha hapa
cha pili tayari nlikuwa naimani sana na arsenal leo man dah anyway sio mbaya tupambane hatujui match zilizobakia kipara atapotea ama kudraw.😂😂 Safi kimoko tayari