Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 41,323
- 99,487
😂😂😂 kuna mtu jana kanicheka mpk nimempa blockJiran maumivu ni makali, huyu Unai Emery amekuwa mfupa mgumu sana kwetu. Hii arsenal imenirudisha kwenye pombe, jana usingizi niliupata kwa shida sana.