Sisi tumepigiwa mashoot mengi na hata hatuwazi yani😂😂Masingeli ndio anajua vizuri takwimu, atakuja kujisifu humu kwa kuingia kwenye box la Villa mara nyingi kuliko Attempts za United za msimu mzima
![]()
Wape na takwimu za msimu wa mwaka kesho kutwa😃Na mkisema mwakani city ata drop kwa kucheza mind games zenu kisa aliondoka gundogan eti ata drop msimu huu silva nae ataenda then guess what
kuna hawa potential target wa city
1 jamal musiala mkataba wake upo ukingoni na hataki kuongeza mkataba japo anahusishwa sana na barca kwenda kuleta upinzani kwa madrid
2 lucas paqueta... huyu ilikuwa atue msimu uliopita ila kwa skendo zake za kubet deal lika collapse wakaamia, kwa covaci ila kwa sasa all allegations are cleared and rumors city are in advanced stage with signing him
3 florian writz japo huyu uwezekano ni 5/10 bado anweza salia Leverkusen msimu mwengine mmoja hii ni the new Germany tony kross model ya kizazi hiki
mnapojipanga msisahau na wahuni nao watajipanga na mwakani mtasema mlichukuaje point 4 kwa city
Hahahaha nimecheka kinoma 🤣🤣🤣🤣Timu yoyote itayo jaribu kupishana na sisi 5 zitaihusu🤣🤣🤣
View attachment 2963926


Arseyo ni kama kitumbua tu, ili kiive lazima kichomekwe spoku kigeuze upande wa pili kiwekewe mafuta halafu kichomekwe tena spoku huku kikiendelea kugeuzwa geuzwa mpaka kinakua chekundu(kinaiva) 


Bila kusahau ili achomekwe vzr n lazima amwagiwe mafuta mengi ili awe mlaini wakati wa kuingizwa spoku 😂Arseyo ni kama kitumbua tu, ili kiive lazima kichomekwe spoku kigeuze upande wa pili kiwekewe mafuta halafu kichomekwe tena spoku huku kikiendelea kugeuzwa geuzwa mpaka kinakua chekundu(kinaiva)
Leo Villa alikua na kazi ya kuchomeka spoku na kukigeuza geuza mpaka ahakikishe kitumbua kimeiva![]()
Injury wao ni Lokonga pekeehapo hamna kisingizio cha injury zaidi ya timber ambae sio potential starter
imagine aston vila injuries wake kina mings...luiz ...ramsey...buendia...kamara ....wapo full mkoko leo
Hivi kweli mnataka ubingwa Odegaard akupeni ubingwa
Alishindwa Fábregas
Alishindwa
Ozil
Alishindwa RVP
eti aje Odegaard aweze![]()


Sio Odegaard mkuu, Masingeli na chawa zake mkorea na arsenal2004 wanadanganyana humu kua Kai Harvez ndio mchezaji wa kuleta makombe hapo Emirates, wanadai Kai ndio aliefunga goli kwenye fainali iliyowapea Chelsea ubingwa wa Uefa, hivyo Kai ana DNA ya makombe aliyotoka nayo the Blues na kuileta kwa G.gunners


Jiran maumivu ni makali, huyu Unai Emery amekuwa mfupa mgumu sana kwetu. Hii arsenal imenirudisha kwenye pombe, jana usingizi niliupata kwa shida sana.Half american makaveli10 kazi inaanza njooni
Wale watakaa tu japo hiyo mechi ni ngumu mno.Na washauri kule Ujerumani msiingize timu uwanjani