🅱️USARA ZA GWIJI WA HIGHBURY
✍🏾 Jana Tumepoteza Mchezo, Inauma ila hamna namna zaidi kuangalia kilicho mbele yetu.
✍🏾 Jumatano Tuna Mchezo mwingine Utakao hamua hatima yetu UCL, Pale Allanz arena.
✍🏾 Ni UCL kombe pekee Bayern analitegemea Kwa sasa hivyo atakuja full Starategic plan.
✍🏾 Arsenal Ata kwa jana Second half unaona wachezaji wamechoka kama ilivyokuwa December.
✍🏾 Kucheza match kila baada ya Siku 3 naona bado hatujaww fitness kuperform kwenye game za hivi Consitent.
✍🏾 Lakini J5 wachezaji na kocha wanatakiwa kuwa concetrated, Matatizo kukosa Concetration baadhi nyakati, ndio yanasababisha makosa tunafungwa.
✍🏾 Natumai Defeat inatufunza pia namna gani tunatakiwa kucheza kwenye moments kama hizi.
✍🏾 Baadae au kesho nitakuja pre game Analysis
. Amigos