makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,873
- 106,796
Katika kundi la mamba kenge hakosekani, kwenye kundinla wachezaji kai ni kenge tu, huwezi sema nina mchezaji KAI, hana akili ya mpira, hana mnyumbuliko eti kai ndio ozil mpya 😂😂.Mkuu
Mwezi mzima huu nakuona upo na Kai
Walikuwa hawakuelewi wajumbe
Mie nikifanya mazoezi mwezi tu yule KAI akatafute mchezo wa kucheza 🤣😂

