HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Wale West Ham wametupiga pesa aisee. Na Chelsea kwa Kai pia wametupiga. Dawa yao inachemka. Tutahakikisha Kai mwenyewe anawapiga hat-trick wale kengeKing Kai mzee wa inverted pressing leo hajacheza?
Vipi bado mna mpango wa kuwaongezea Westham pesa kidogo kwa ajili ya Rice?