kipndi cha kwanza kaachwa acheze mpira weee kipind cha pili Emery kaamua kumonesha ukitaka kuwa Bigwa inabidi ucheze vipiArteta hana ubavu wa kumkabili Emery.
mda wa kugombania Top four kila season auArteta ni kocha mzuri apewe muda
Mlikua mmekaa mabandani mnashangilia Liverpool kufungwa 😀😄😀😄Duuh!!! Na hamu ya kucheki kitu kinaitwa mpira ndo imeishia hapa Kwa msimu wa 23/24
Mbona umegeuza matokeo mkuu?Arsenal 6-2 Blackburn
Kwenye hili Kocha bado ana cha kujifunzaSub zimetugharimu.
Eh yamekuwa hayo 😂 Mbona mlikuwa mnammwagia sifa hvyHatuna kocha hapa