Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi imekuwaje arsenal tukawa na washabiki watoto wengi. Timu ilipoteana tangu 2007 sasa nashangaa hawa madogo walipendea nini arsenal wakaanza kuishabikia.

Hawa ndio wanajaa hapa jukwaani na kuongea utoto mwingi huku wakisifia mpira usiokuwa na mwelekeo. Sijui lini watakuwa wakubwa na kuufahamu mpira.

Nawakumbusha komenti zangu zilizofanya mkanibeza. Arsenal hatuna timu ya kuchukua kombe lolote kubwa chini ya Arteta. Hauhitaji kuwa football expert kuliona hilo.

Mpaka siku tutakapoanza kucheza mpira wa kasi, kusajili clinical players na kuachana na pasi nyingi zisizo na umuhimu ndipo tutaanza kubeba makombe.



Nyie watoto mmeanza kuangalia mpira 2015 huwa mna mihemko sana.

Arsenal hakuna timu wala hakuna hope, wastage of time kushabikia timu ya arteta.



Hapa nilionesha dhahiri kwamba arteta hajui anachofanya. Hii ilikuwa July 2023. Anaacha kusajili watu wa kazi analeta takataka nyepesi.

Nawatakia kila la heri wale mashabiki lialia, I'm out.

 
Mtake radhi mchambuzi nguli

Ajari kazini tu mkuu
 
Sentensi ya mwisho imeonesha ulivyo wa hovyo. Umebishaaaaaa wee kwa maandishi meengi, then mwishoni unakuja kukubali...poor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…