Ameshasepa zake na kombe aiseeArsenal🤣🤣🤣.
Pep hatodrop point tenaa.
Ndio shida ya Arsenal, kuanza vizuri mapema,kumaliza kaza inakuwa ngumuKocha alikuwa smart all season, anaharibu mwishoni
1. Pambania ubingwa mpaka dakika za mwisho..
2. Cheza mpira mzuri
3. ubingwa achukue Liver/man city
Hatuwezi kuwalaumu. Ndiyo maisha mliyochagua.
dah inaumiza sana pole man muda si mwingi nliumia hivihivi acha tuu poleni sana sasa hapa ni tuunde kamati za maombi mabaya kwa kipara hamna namna kwa match zilizobakia.Tumeleta tena utoto aisee
Hawa mwaka huu kama mwaka Jana. Hakuna kombe lolote wanapataChelsea tunakuja mdogo mdogo 😂