Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Attachments

  • 20240414_205639.jpg
    20240414_205639.jpg
    1.9 MB · Views: 14
dogo watu tumaengalia fainali za Euro mwaka 2000 kati ya France na Italy uzangumzia Sheikh mansoor aliyemeleta Robert Sant Cruz Kutoka Blackburn Rovers juzi niheshimu kidogo basi ata kama nimekosea
Wewe bado sana, mimi nimeangalia fainali za world cup 1994
 
Tuliwaambia Emery ni tactician mzuri kuliko Arteta na mngempa ushirikiano mzuri kama anaopewa Arteta, angewapa makombe kadhaa yenye hadhi. Mkakazania kucheza sexy football isiyo na matokeo ya maana. Haya, arteta kapigwa home and away na Emery lakini akija yule tapeli wa man utd anayejiita shabiki wa arsenal analeta takwimu uchwara bila makombe.
 
Goli la kwanza Rice sijui alikuwa anawaza nini.. tired legs? Hapana, alikosa umakini.
ile haikuwa kazi ya Rice, ilikuwa kazi ya Martinel kum make winger mwenzie, na ukiangalia move utaona mwanzo alikuwa yuko nae na ghafra akamuacha na kurudi ndani
 
xhaka katoka arsenal kaenda zake Leverkusen kujibebea kombe

alijua tu huku hamna kitu ni full false hopes its sad
Arse88 fungu la kukosa, wachezaji kibao wameondoka Arse88 wakaenda kubeba makombe, SAKA atazeeka anaona makombe kwnye Luninga.

Arteta aliuza Xaka akanunua Havertz,anguko lilianzia hapo.
 
Mashabiki wa AssAnal ni matterkow sana. Mtalilia ubingwa hadi Yesu anarudi hamjapata hata kikombe kimoja, labda mpate kikombecha chai. Mbwa koko nyie!
 
Back
Top Bottom