Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sentensi ya mwisho imeonesha ulivyo wa hovyo. Umebishaaaaaa wee kwa maandishi meengi, then mwishoni unakuja kukubali...poor.
Uzuri upi huo unazungumzia, labda kuwafunga Arsenal. angekuwa tactician mzuri sidhani kama angeruhusu gape kubwa la points na walio juu. Ni midterm kocha tu kama wengine.. Na nafikiri Arsenal walichukua maamuzi sahihi kabisa kuachana nae kwasababu hakukuwa na falsafa yoyote aliyokuwa amepandikiza kwenye timu.. Pengine kufukuzwa Arsenal kulimfanya ku reevaluate carrier yake zai
 
Spana zitembee wakuu.
Spaba zinembee
Flano ongeza kuni hapa hizi kenge zisilale leo ikibidi tupeane shifti ya lindo.
Arsenyau hawana tofauti na wale wadada wanaocheza baikoko, manjonjo yao hua yanaongeka zaidi pale vijora vyao vinapo mwagiwa maji, leo Aston Villa walikua na kazi ya kumwagia maji vijora vya Arsenyodo.
 
Wenger orphans kitu mnaweza beba msimu huu ni hii tu🤣🤣🤣
IMG-20230521-WA0024.jpg
 
Uzuri upi huo unazungumzia, labda kuwafunga Arsenal. angekuwa tactician mzuri sidhani kama angeruhusu gape kubwa la points na walio juu. Ni midterm kocha tu kama wengine.. Na nafikiri Arsenal walichukua maamuzi sahihi kabisa kuachana nae kwasababu hakukuwa na falsafa yoyote aliyokuwa amepandikiza kwenye timu.. Pengine kufukuzwa Arsenal kulimfanya ku reevaluate carrier yake zaidi.
Mkiambiwa nyie ni kondoo huwa mnabisha, sasa unataka Emiry agombee ubingwa na Aston Villa?! Hata ukimpa Pep A.vila hawezi kutoboa.

Emiry amempita mbali sana Arteta. Yaani mliruka mkojo mkakanyaga mavi.
 
Mtake radhi mchambuzi nguli

Ajari kazini tu mkuu
utakuja kunielewa siku huko kwenye thread ya man utd anajulikana kama shabiki wa man utd ndio maana utani na kina ally pipi flano arv na wenzie huko hauwastui anapiga spana uko kwa 7hag lakin mwisho anakimbia mwenyew tunamjua ni Familia

huku ana kitu mwanadamu inaitwa fantasy huwa inajenga philosophy flani ambayo ipo ina a way unaona positively na hujui ni kwa nini watu haioni kama wewe kumbe upo kwenye dimbwi lako la matamanio yasio na uhakika wa uhalisia mfano

1 mwanzoni anakuambia ubingwa ni must na atakuja kupewa kwenye mechi ya mwisho dhidi ya man utd na man utd lazima wampigie gwaride la heshima unaona kabisa ni fantasy na matamanio

2 anakuambia arsenal ndio team pekee itakayo weza mpokonya pep epl time na kwenda toe to toe kwenye hatua za kubeba mataji makubwa kama uefa na epl

3 hapa Europe anaiogopa city zaidi amna team inayoweza cheza na arsenal itakula mkono na pia anakuambia robo ya UCL bora apewe madrid ana muweza na kumudu yeye anahisi madrid nikama ile inayocheza kwenye ps4 ndio ataitungua 5g

4 kai hapa sita tia neno kila kitu watu washaeleza ma legend wote wanajua kai hakuitajika mlikaiwa mtafute CDM au CM Bora kama partey ya ku pair na rice & odegard hapo kati kama tulivo aminishwa na fans wao humu partey rice odergard hakuna timu italeta timu yake uwanjani

5 ntaishia hapa
 
ila wakina flano arv wanamjua hamiss 77 ni damu yao ya united sema analeta ushindani mzuri na upinzani na ndio maana anaumia sana ubovu wa man utd na kufungwa kwake na kocha wao ni mzuri kutoa kasoro kwa kwa man utd kuliko arsenal

we jiulize ni shabiki gani anaona mazur ya timu tu na wala haoni mistakes na kipindi cha mpito kama hichi anakula kona na akisa ubingwa ndo humuoni mazima mpaka msimu ujao
Kuna wahuni wa Arsenyo walikua wanaangalia pamoja na Masingeli mpira kwenye kibanda umiza, baada ya game kuisha wamemkuta Masingeli amejifungia chooni anacheka mpaka kakaa chini.
Nasikia jamaa wamepiga kama vile wanapiga mwizi, hivyo msitegemee kumuona Masingeli humu ndani ya hizi siku mbili tatu maana hali yake sio poa
tapatalk_-1304297779_375x440.jpg
 
Kuna wahuni wa Arsenyo walikua wanaangalia pamoja na Masingeli mpira kwenye kibanda umiza, baada ya game kuisha wamemkuta Masingeli amejifungia chooni anacheka mpaka kakaa chini.
Nasikia jamaa wapiga kama vile wanapiga mwizi, hivyo msitegemee kumuona Masingeli humu ndani ya hizi siku mbili tatu maana hali yake sio poaView attachment 2963946
sasa jee huyo kama haji manara mwili upo yanga akili ipo simba ndio masingeli

mwili upo arsenal roho ipo kwenye matofali ya kuchoma 7hag mwenyw anamuita siku man utd akija kuwa top contender wa epl title ndio watajua sura halisi ya huyu kijana mahaba hayafichiki

Arsenal fans shtukeni msishikwe maskio kiasi hicho wengi wenu mko mature minded sasa sijui mnakuwa mnampaka mafuta kwa mgongo wachupa aka mnanchora au mnachezesha shilingi yenu ya utabiri wa ushindi au wakupambana na kupiga spana wapinzani
 
Liverpool na Arsenal tuliwaamini, tuliwategemea kuvunja hii aibu ya PEP kuifanya EPL farmer league lakini mmeshindwa. Ngoja tuje wanaume wanaoweza kutekeleza ahadi, haiwezekani tangu tuchukue Ligi 2017, Liver alijaribu 2019 baadaye wakafyata mkia
 
Back
Top Bottom