Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Agent wa SAKA ndio Agent wa LAVIA..........SO WHAT ???????......SO WHAT ????
Arsenal Fans wengi ni STONE HEADES.
So unataka tusajili wachezaji wote wanaosimamiwa na agents wa wachezaji wetu? Dah hii nchi ngumu sana
 
MC MASINGELI Bana Eti Oooooooh.
Bado dili la LAVIA tufunge usajili kwenye kiungo kila kitu tumesha malizana na Lavia.......
Anawajazaga wajinga wake na wanajaa.
Ona mikondoo yake inavyotetea wkt ni wao wenyewe walituambia.
So unataka tusajili wachezaji wote wanaosimamiwa na agents wa wachezaji wetu? Dah hii nchi ngumu sana
 
Kubaki na jesus na kai kama false9 ni bomu kwetu mzeee, tunaitaji profile tofauti na ni nketia pekee yuko tofauti na wale watu.
We are going to regret,we need mfungaji wa 20 goals per season katika EPL Nketiah Jesus Kai huwezi tegemea wakascore more than 15 goals per season katika EPL na remind you tuna champions league competition sometimes viongozi wawe serious na football ️ sawa tumemchukua Rice na Timber ila eneo nyeti ambalo wote tunaona linapwaya ni hapo mbele siku Saka Martinelli Odegaard wakiamka vibaya tunapataga sana shida
 
| Mikel Arteta on what he is expecting against Barcelona:

“It will be (different to Saturday’s game vs Man Utd) because when you play at the level that we are playing, with the type of opposition that we're going to be facing, in that stadium and there are so many people.

“They have to expect that and we are expecting that. I think will be a very competitive match.

“They are different teams [Barca & Utd] and the DNA of Barcelona is always to have the ball and have it back as quickly as possible.

“I know Xavi very well and I'm sure he will be trying to do that and the same as we want.”


[@arsenal] #afc
 
UPDATE: Crystal Palace have identified Eddie Nketiah as their number one target to lead the line.

Arsenal won’t let the player leave for anything less than £40million.

Mikel loves Eddie but he won’t stand in the players way if he wants to leave.
 
We are going to regret,we need mfungaji wa 20 goals per season katika EPL Nketiah Jesus Kai huwezi tegemea wakascore more than 15 goals per season katika EPL na remind you tuna champions league competition sometimes viongozi wawe serious na football ️ sawa tumemchukua Rice na Timber ila eneo nyeti ambalo wote tunaona linapwaya ni hapo mbele siku Saka Martinelli Odegaard wakiamka vibaya tunapataga sana shida
Naamin Jesus anauwezo wa 20goals,

Kuna option gani sokoni kwa sasa ya 20goals + master?????
 
Boss kasema mechi vs Barcelona itakuwa nzuri tofauti na wazee wa kuparamiana
20230726_210336.jpg
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
tutajie mwaka ambao arsenal alikuwa on peak na sio mbovu , hili jukwaa mashabiki wa arsenal wanatoa burudani kweliii
Ni komed kwa kwenda mbele, ndio mana tunapenda kushinda huku. Wanaongeaga vitu unabaki unajiuliza zimetimia kweli hawa. Vitu vingine nahisigi wanatania lakin kumbe wapo serius😂😂
 
Arteta amenisikitisha sana kumsajili Kai Havertz. Hii inaonesha kwamba mpaka sasa hajafahamu mahali tatizo la Arsenal lilipo.

Paundi 65m kama angetulia na akaziongezea kwa kumuuza Balogun, Tavares na Nketiah angeweza kumleta pale Osimhen. Kai sijui amemleta kufanya nini.

Usajili wa Declan Rice na Timber ni mzuri na kwa sehemu utasaidia kuimarisha kiungo na ulinzi lakini still Arsenal inahitaji goalkeeper ambaye yupo serious.

Wachezaji wa kawaida kama Reiss Nelson, Fabio Vieira, Rob Holding, Cedric Soares, Nicolas Pepe na Sambi Lokonga wanatakiwa kuondolewa haraka.

Msimu ujao nategemea Arsenal itabakia kwenye top four lakini masuala ya ubingwa tuendelee kuyasahau.
 
Ngoja tuone jinsi mnavyo rambwa maana mjawai ishiwa sababu nyie Mara mtatupigia mpira mkubwa Mara tumewafunga kwa sababu ni butua butua.

Kwaiyo Leo kwa Barcelona mnashinda ngapi mkuu.
Mzee. Baba unataka nikufanyie utabiri umebeti Nini?
 
Mimi ni mtahalam wa bashiri kuliko hata wewe nyie mnachapwa 3-1 ilo hakuna ubishi ni muda tu ndo ufiki.
Unakoseaga sana , mechi ya leo naamin tutashinda 3-0

Sema bado tunataka tupate best Midfield combination
 
"You can't win the Title with a goalie that make countless mistakes, I watched the Friendly against Man United but wasn't impressed even though I played in both clubs".

"Ramsdale has been making a lot of mistakes leading to goals, against Southampton he was floppy, I think a competition is needed if Arsenal wants to compete next season". - Robin Van Persie on Ramsdale.

Watu wangu Van Persie anasema Arsenal haiwezi kushinda league na Ramsdale akiwa goalkeeper. Je unakubaliana na Van Persie?

A). He's right.
B). Ni hater.
C). Ramsdale will prove him wrong.

Wacha nisome maoni....!

Photo Courtesy.
1684174711651.jpg
 
Back
Top Bottom