Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Hawa wapiga baruti bhana
Timu gani haina kikombe chochote miaka nenda miaka rudi



mkuu lakini wana makombe mengi ya Emirates kuliko timu yoyote duniani

Hawa wapiga baruti bhana
Timu gani haina kikombe chochote miaka nenda miaka rudi



mkuu lakini wana makombe mengi ya Emirates kuliko timu yoyote duniani

MShukuru korona kwa sana..ili wara hishia mambo sasa kazi ipo uku.. mkaze tuoneHawa wapiga baruti bhana
Timu gani haina kikombe chochote miaka nenda miaka rudi
Na kwli kabisa ikifika February wte mtaungana kwny majukwaa yenu kutuombea njaa....maana tutakuwa tushafungua gepu la point pale juu🤠🤠🤠....tunza hii commentkwa umoja wetu mashabiki wote wa Epl tunatakiwa tuwe humu tunawapiga spana 24/7 hawa wajaa laana.
Kwanza hii sio timu ni kikundi tu cha wauza karanga.
walitakiwa wamalize mechi mapema sasa goli 2 zimerudiCity hoi
Wamepita na mkeka wangu Hawa kina Alvarez🤨🤨...pumbavu zaowalitakiwa wamalize mechi mapema sasa goli 2 zimerudi
Pole sana.Wamepita na mkeka wangu Hawa kina Alvarez🤨🤨...pumbavu zao
Ze hadi wei mniga analiwa na mamba,Nasikia sikia tu kuwa partey the mniga analiwa na mamba is back
Kuna midfielders epl never see before
..................Rice ....................... odegard
............................... PARTEY
.
.
![]()
Wewe siumeburuza mkia kule UCL mbele ya Copenhagen?kwa umoja wetu mashabiki wote wa Epl tunatakiwa tuwe humu tunawapiga spana 24/7 hawa wajaa laana.
Kwanza hii sio timu ni kikundi tu cha wauza karanga.
Wewe siumeburuza mkia kule UCL mbele ya Copenhagen?


Ni bora kuburuza mkia ukajijua mapema kua hauko sawa kuliko kuongoza ligi kwa siku 258 ukajipa false hope ya ubingwa halafu zimebaki mechi 4 ligi iishe ukalegeza kalio ukaishia kuwaona wenzio wananyanyua makwapa


Ila Mkuu Flano Unajua kusimanga watu, mbaya zaidi unakuja kutusimangia kwenye Jukwaa letu kabisa utasema umetumwa.sisi mashabiki wa Utd mbona tulisha wastukia mapema sana tu, kama msimu ulioisha jinsi tulivyo simama na mliMancity msimu huu tutasimama na livapunda mpaka tuhakikishe Arsenyau anatoka mikono mitupu.
Miaka 20 bila Epl, miaka 1000 bila ya kombe lolote la Uefa halafu na wao eti wajiita maGiant![]()
Ila Mkuu Flano Unajua kusimanga watu, mbaya zaidi unakuja kutusimangia kwenye Jukwaa letu kabisa utasema umetumwa.
Kwa taarifa yako mwaka hu tunabeba kuanzia Epl na Uefa kabisa



we jidanganye tu kwa kusikiliza false hopes za Masingeli halafu mwisho wa msimu uje kuporomosha matusi humu kama wenzako hawa hapa


Mkuu kwa ushahidi huo wa screen shots sina ujanja wa kubishana na wewe, ndiyo maana unatusimanga kutwa kucha.we jidanganye tu kwa kusikiliza false hopes za Masingeli halafu mwisho wa msimu uje kuporomosha matusi humu kama wenzako hawa hapa
Mimi hua na screenshots halafu nawahifadhia kumbukumbu zenu maana nawajua vizuri arsenyau nyinyi huwa mnasahau haraka sana. View attachment 2844385View attachment 2844387View attachment 2844388View attachment 2844389View attachment 2844391View attachment 2844392View attachment 2844393
Hapa duniani timu ninayoipenda kuliko zote ni Arsenal FC ikifuatiwa na Simba SC na national teams za Tanzania na France.
Lakini niseme wazi kwamba kwa jinsi Arsenal inavyocheza mpira slow basi hatutakuja kamwe kubeba makombe makubwa.
Aina ya mpira wetu ungeweza kuwa hatari sana kama tungecheza kwa kasi. Kucheza taratibu hivi kunataka uwepo wa wachezaji exceptional ili kuweza kubeba makombe.
Barcelona iliweza kubeba makombe kwasababu walikuwa na Messi, Xavi na Iniesta, pia Puyol, Alves, Bosquet, Pique, Villa etc. Mara kadhaa walicheza kwa kasi na kupiga counter lakini mostly walitegemea hao wachezaji hatari.
Sasa hapa kwetu Arsenal kuna wachezaji sita ambao angalau wana winning mentality ni Rice, Saliba, Martinelli, Trossard, Partey na Saka. Na hawa wote ukiondoa Saliba na Rice ni normal players, sio exceptional.
Wachezaji ambao nawaona ni squad players na watakupa output ya kueleweka mostly kwenye mechi ndogo ni Odegaard, Magalhaes, White, Zinchenko, Tomiyasu na Gabriel Jesus. Nawapa muda Kiwior na Raya.
Wachezaji mizigo ni Elneny, Nelson, Havertz, Vieira, Nketiah, Rowe, Ramsdale na Soares. Hawa waondolewe haraka maana hawana faida yoyote. Akina Lokonga na Marquinhos waliopo mkopo wasirudi.
Kwahiyo katika hali hii nategemea Arsenal tutatolewa UCL kwenye robo fainali na tutaingia top 4 ya EPL kwa tabu sana. Tutatolewa FA siku chache zijazo.
Mwezi huu wa December tunaweza kupata point chache sana maana tumeshapoteza kwa aston villa na hapo bado broghton, liverpool, westham na fulham.
January apatikane beki wa kati, winga wa kulia na mshambuliaji hatari ili angalau kuokoa jahazi lisizame kuanzia February 2024.
Arteta na Edu waache kuleta wachezaji laini na waache huu mpira slow slow.
Kwa hiyo unataka kusema ile FA cup yetu ya msimu wa kwanza wa Arteta umeisahau?Hawa wapiga baruti bhana
Timu gani haina kikombe chochote miaka nenda miaka rudi
Sikuwa active huu muda....aisee ilikuwa ni mitusi mikubwa kwlikwli....mpira unafanya watu wanatoa maneno mazito hv🤠🤠🤠...kwli sisi wengine hatuipendi timu kihivyo maana tukifungwa nakuwa very optimistic ila kuna waungwana wanaumia kwlikwli....poleni sana mlioumizwa na madhila ya mwaka janawe jidanganye tu kwa kusikiliza false hopes za Masingeli halafu mwisho wa msimu uje kuporomosha matusi humu kama wenzako hawa hapa
Mimi hua na screenshots halafu nawahifadhia kumbukumbu zenu maana nawajua vizuri arsenyau nyinyi huwa mnasahau haraka sana. View attachment 2844385View attachment 2844387View attachment 2844388View attachment 2844389View attachment 2844391View attachment 2844392View attachment 2844393