Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Martinelli inabidi awe striker cuz ni mnyama sana akiwa karibu na goli, Arteta afanyie kazi hili suala. Kwenye timu yetu hatuna good finisher kumzidi Nelli. So zile tetesi za Rafa leao zinamake sense kama Nelli anasogea golini, target man anabaki leao sababu ya kimo, Nelli injini ya magoli, Saka creator.
Inawezekana anacheza na kufunga akiwa LW; akiwa CF anaweza kushindwa kufunga magoli