Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ombeni mcheze japo na Barcelona
Nje na hapo,hakuna timu mtakayoiweza.
Haya ni mawazo duni sana kimpira labda kama umeyazungumza kiushabiki. Katika timu zote zilizopita hakuna timu yoyote Arsenal anaweza kushindwa kupata matokeo. Man city probably ndio timu bora kuliko zote zilizopita lakini hivi karibuni Arsenal ameonesha resilience na kupata matokeo so sioni timu yoyote wa kuifanya Arsenal kuogopa kukutana nayo. Siyo aibu kwasasa kukili Arsenal sio Inferior timu tena. Wakati mwingine kukinzana na ukweli moyoni ni kujipa stress na kutafuta uzee kabla ya muda.
 
Mawazo duni?
Subiri uone keshokutwa tu hapa mnakutana na City,utaona😂

Huko Madrid ,PSG sijagusa kabisa.
Pona yenu ni Barcelona.
Haya ni mawazo duni sana kimpira labda kama umeyazungumza kiushabiki. Katika timu zote zilizopita hakuna timu yoyote Arsenal anaweza kushindwa kupata matokeo. Man city probably ndio timu bora kuliko zote zilizopita lakini hivi karibuni Arsenal ameonesha resilience na kupata matokeo so sioni timu yoyote wa kuifanya Arsenal kuogopa kukutana nayo. Siyo aibu kwasasa kukili Arsenal sio Inferior timu tena. Wakati mwingine kukinzana na ukweli moyoni ni kujipa stress na kutafuta uzee kabla ya muda.
 
Ombeni mcheze japo na Barcelona
Nje na hapo,hakuna timu mtakayoiweza.
Haya mambo ya kushauriana yameshamiri sana sasahv...mnajifanya mnatupeeenda kumbe ni unafiki tu...mmeanza kule kwny ligi kutushauri vs Man City Sasa kule tumeamua hatupeleki timu uwanjani...sasahv mmehamia huku UEFA...na huku nako tutapiga maombi tumpate Madrid kabisa tumfumue Ili hzi kelele za msiombee mkutane na Fulani ziishe
 
Back
Top Bottom