Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aliyescore nje ya 18 amekosa ndani ya boksi.

Mwaka jana tunatolewa na Sporting kwa matuta langoni yupo Ramsdale. Leo ingejirudia ingeniuma sana
Raya kafanya kitu safi sana. Penalties zao alizipangua, siyo wao wamepaisha au kugonga mwamba.

Nilipenda sana ile replay ya slo-mo ya save yake ya pili jamaa jinsi alivyosmile alipoona amesevu huku akiwa bado yuko hewani.

Halafu akatua kwa samasoti kudadadeki.
 
Waulize man u kwann walishindwa kufuzu kundi lenye galatasaray na copenhagen...sasa ulitata tupenye vipi hujaona goli leo au
Walimwengu ndo walivyo...yaani wao Kila kitu ni kibaya kwao🤠🤠...sisi tunachojua tupo robo fainali...hayo mengine tuachane nayo...kuna tofauti kubwa sana kati ya wao na sisi
 
Kimasihara masihara Asaninyau nae akibeba Uefa tutamtania nani mwingine kuhusu Uefa?
Eeeehh Mungu tuepushe na hii fedheha walakini si kwa mapenzi yetu bali yako yatendeke.
Kesho Masingeli kabla hata ya kupiga mswaki lazima aje atukandie humu utafikiri Porto ndio timu yetu wakati sisi ni friends tu of Porto.
 
Rekodi yake kwenye penalties unayo lakini? Sio Ramsdale uyo
Sikuwa nayo mkuu🤠🤠...Flano atafutwe apigwe marungu ya visigino..yule jamaa ni msumbufu sana...kampata na mjinga mwenzie Labyrinth 84..basi wanalishana ujinga tu🤠🤠...waje humu tu discuss sasahv kwmba nani kaenda quarter final
 
Kimasihara masihara Asaninyau nae akibeba Uefa tutamtania nani mwingine kuhusu Uefa?
Eeeehh Mungu tuepushe na hii fedheha walakini si kwa mapenzi yetu bali yako yatendeke.
Kesho Masingeli kabla hata ya kupiga mswaki lazima aje atukandie humu utafikiri Porto ndio timu yetu wakati sisi ni friends tu of Porto.
Tafuta kiporo cha makande ule daku hapo lindoni...una ujinga mwingi sana ww bwege🤠🤠
 
Hata hivyo Arteta awaassign watu wawili kazi ya kushut nje ya boksi.

Porto wana defense nzuri nafikirini vile tu Arsenal tunakua wazuri Emirates.
Arsenal second half waliegemea sana upande wa kulia. Upande wa kushoto wa Trossard ulipoa sana. Tungekuwa tunampelekea Trossard mipira edge of the box upande wake angefanya mauaji sana.
 
Wajinga wale walijiaminisha kwamba watatuweza kwenye penalties. Daaah hahahaha.

Hivi hawakushtuka jinsi hatufanyi subs nyingi kama wao?

Hivi hawakudhani sisi tulijua watatafuta penalties na tulijipanga kwa hilo?

Hivi hawakuona jinsi King Kai alivyokuwa amechoka mbaya mpaka anafanya fouls za kifala lakini yumo tu uwanjani hatolewi? Hawakujiuliza kwa nini?

Warudi zao Ureno huko wakijua kuwa sikio halizidi kichwa.
Halafu refa alikua anamlea sana Havertz sijaamini kama amemaliza dakika zote 120 bila kula umeme wakati tayari alikua na kadi ya njano.
 
Arsenal second half waliegemea sana upande wa kulia. Upande wa kushoto wa Trossard ulipoa sana. Tungekuwa tunampelekea Trossard mipira edge of the box upande wake angefanya mauaji sana.
Wale Porto wanaujua mpira aisee...ingawa na refa alikuwa upande wao ila tumewatoa...jamaa Wana faulo za kisirisiri sana...halafu sisi tukiguswa hatuanguki hovyohovyo na hata tukianguka refa anakausha tu ila wao ukivigusa tu tyri vinakaa chini kabisa🤠🤠🤠....ila all in all(in Baba Levo's voice)...tumewatoa....wakaendelee kurukaruka huko kwny ligi yao
 
One million dollar save.
Snapinsta.app_432112773_1129996341478526_7518647624822400785_n_1080.jpg
 
Back
Top Bottom