Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,707
- 12,356
✊️⚽️Arsenal tumepata goli la uwezo kbs
✊️⚽️Arsenal tumepata goli la uwezo kbs
Hutaki au😂😂Na kupoteza Muda kote kule imeongezwa dkk moja...?
Uefa Jau..Hutaki au😂😂
Chura kabisaArsenal imepotea kati
Download apk yao
Au umemuua Arsenal mkuu😂Uefa Jau..
Kupitia sofascore au Livescore?😂😂😂Ngoja nione arse8 wanavyokaangwa
Kupitia sofascore au Livescore?😂😂😂Ngoja nione arse8 wanavyokaangwa
Wakitaka kututesa, watumie wing yao ya kulia. Trossard hana ile energy ya Martinelli kuwafukuzia wachezaji wao pale wanapomnyang'anya mpira na kuanza kutushambulia kwa kasi. Gap la Kiwior na Trossard naliona ni kubwa na Havertz leo hajadrop sana kujaza numbers hapo maeneo ya LCM.As I thought Porto hawatokaa nyuma ila wascore kwanza kisha ndiyo wakae nyuma. Tungeenda half time bila bila second half Porto wangerudi kupaki basi.
Hata hivyo Arsenal ana pressure ya kufuzu kuliko wao, wanaweza wakapaki basi kusubiri matuta pia. I hope hili holi litawafanya wacheze mpira
Yule Zinchenko defending ndo shida...ile winger Yao ya kule Ina usumbufu sana...sidhani kama ataiwezaHawa porto wanataka mtu wa kuwafungua, hivyo tunamhitaji Jesus nafasi ya Trossard na Zinchenko nafasi ya Kiwior.
Yule kipa anatuudhi sisi arsenal fans ila anafurahisha. Anafanya kazi yake vizuri na kwa kwa utulivu wa hali ya juu.GK wa porto ni wakumfata kwa akili sana.. yeye ,pepe na otávio ndio wana fanya timu ya porto kusogea mbele vizuri.