Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ukiachana na haters kutuwekea standards za kutotakiwa kutoa sare ukiachilia kufungwa, Kuna standard mpya wameanza kutuwekea ya tushinde kwa style ya kumpa mbinyo mpinzani hadi ashindwe kupumua
Siku hizi hata tukishinda na mpira mbovu pia tunasemwa. Tukishinda chini ya goli 3 tunaambiwa uwezo umeshuka.
 
Mtafute na yule kiherehere mwnzio Labyrinth 84 aje kuanza kutupa habari za false hopes na stats za wachezaji wake kina Gordon na Almiron
False hopers sina neno, hongera kwa kufika 1/4 after 14 years.
Sisi tunasubiri na tunajua mnatoka empty hands ni suala la muda tu. Tamba wewe kwa sasa.
 
Ukiachana na haters kutuwekea standards za kutotakiwa kutoa sare ukiachilia kufungwa, Kuna standard mpya wameanza kutuwekea ya tushinde kwa style ya kumpa mbinyo mpinzani hadi ashindwe kupumua
Haters wanazidi kuwa msaada kwetu, wametuwekea standard ambayo ata timu zao haijawai fika hizo standard
 
Naanza kuelewa, kwanini tunasajiri wachezaji wenye passion and commitment for arsenal
IMG-20240313-WA0036.jpg
 
Odegard sana kaiva, muda mrefu saaana nilikua sijamuona kwenye game ngumu na big games anaichukua timu mabegani anaamua vitu vitokee ile pasi ya goli na ile penalty ya kwanza kabisa vimeamua mchezo wa jana na ndo maana kuna nilikua nabishana na watu mpaka kufa kuhusu kumuweka kundi moja na KDB, ila angalau kwa sasa unaweza kumuweka Nyuma ya KDB.
Me nimesema baada ya misimu kama 4, watu watakuja kusema KDB hamuwezi Odegard.

Watu wanaangalia takwimu na siyo influence ya mchezaji katika mchezo mzima, na takwimu zenyewe wanaangalia goals and assists tu basi
 
Kimasihara masihara Asaninyau nae akibeba Uefa tutamtania nani mwingine kuhusu Uefa?
Eeeehh Mungu tuepushe na hii fedheha walakini si kwa mapenzi yetu bali yako yatendeke.
Kesho Masingeli kabla hata ya kupiga mswaki lazima aje atukandie humu utafikiri Porto ndio timu yetu wakati sisi ni friends tu of Porto.
😂😂😂 Asante kwa maombi yako.
 
Back
Top Bottom