Tanzania Norway
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 338
- 658
Hizi mechi zinahtaji pia kuwa na wachezaji makatili mbele ya goli sio wapaka rangiGame imekuwa nzuri. Kuna vitu ningependa kuona zaidi ila sasa tuone itaishaje.
Tukipoteza, bado tumpongeze Arteta na timu nzima kwa kufika hapa.