Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Not sure if arteta had enough preparation for this match
@hamis77 natumai umeona mziki wa Champions league nilikukatalia ile siku wakati fixtures zinapangwa kuwa team Porto ni team ndogo ona sasa tunabana kende tu muda huu anything can happen Arteta still bado Uefa competition zinamsumbua (katika last 5 fixtures za home katika Uefa zote tumetolewa home)I don't know why kwa kweli imagine hii ni Porto then bado kuna hizo Real Madrid na wengineo si itakuwa balaa hata tukifuzu kwenda quarter final kwa shida still bado naona giza tu mbeleni
 
Game kweli nzuri hii. Tukiwa na energy ya kuwachezea nusu uwanja hivi na kudhibiti counters zao, tunashinda hii.
 
@hamis77 natumai umeona mziki wa Champions league nilikukatalia ile siku wakati fixtures zinapangwa kuwa team Porto ni team ndogo ona sasa tunabana kende tu muda huu anything can happen Arteta still bado Uefa competition zinamsumbua (katika last 5 fixtures za home katika Uefa zote tumetolewa home)I don't know why kwa kweli imagine hii ni Porto then bado kuna hizo Real Madrid na wengineo si itakuwa balaa hata tukifuzu kwenda quarter final kwa shida still bado naona giza tu mbeleni
Tulipopangwa na Porto kina Hamis walihesabu tutapita kirahisi,nakumbuka niliandika humu kwamba PORTO WASICHUKULIWE POA
 
To make a good girlfriend she needs to understand that she can be replaced anytime.
 
She will decide to stay with you or not after your first intimacy with her.

So never take her serious when you haven’t passed through the intimacy stage yet.

Any act or words from her before intimacy maybe be political and therefore must be discarded.
 
Back
Top Bottom