fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,472
- 10,049
Humu ndani mnalishana ujinga sana.
Yaani mko nafasi ya 3 na mmezidiwa point na city pamoja na liverpool lakini mnaongea kuliko wao.
Sisi Manyumbu tunajua msimu kwetu umeisha ndio maana tunakosa nguvu ya kuwabishia ila kuweni wastaarabu kama Liverpool.
Kwa sasa mnajiaminisha mmekamilika sababu ya ushindi usiokuwa na maana wa 5+, siku ikitokea mmepigwa msianze kulalamikia VAR tena kubalini kuzidiwa kama mllivyofanywa na Porto.