HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Dogo amepambana sana kwa kweli. Itapendeza sana wasifu wake ukijaa makombe. Alitoka academy ya barcelona akiwa mtoto kabisa. Hatuwezi kusema ana connection nao, labda kwa kuforce kama Fabregas. Amecheza Scotland ujanani, Everton, akakubali kupunguziwa mshahara aje Arsenal. Akapanda cheo kuwa captain mpaka alipostaafu kucheza na kwenda kuwa mshauri mkuu 😃😃 wa Pep.Barca are barking up the wrong tree. Arteta ni tofauti na wahispaniola wengine, jamaa anavutiwa sana na culture ya waingereza. Kuna mazingira rafiki sana kwa familia yake.
Pia kwa Arsenal anachukuliwa kama legend kwa kuwa ndio club alocheza kwa muda mrefu na alikuwa nahodha pia.
Mpaka sasa Arteta ame gain full trust kutoka kwa mashabiki na wachezaji, ndio maana leo hii husikii mtu anapiga kelele kwamba kwanini Raya anacheza badala ya Ramsdale, kama upo mtu wa namna hiyo basi huo utakua ni mgogoro wako mwenyewe wa kinafsi.
So, even club like Barca can't buy that loyalty. Mikel is going nowhere!
Sasa amekuwa manager na kwa timu yake ya kwanza anaonyesha kuwa anaelekea kumzidi maarifa Pep. Barca wamuache kwanza afanikiwe na Arsenal.