zege la nyasi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 938
- 1,258
Ewaaa umeliona hilo😂😂😂😂...licha ya kukosa nafasi kadhaa za kufunga lakini timu imekuwa predictable mno kwa namna inavocheza.
flow ya mpira hakuna timu pinzani isiyoijua.. ni same build up kila game hasa namna saka na ø wanavopasiana ata kama haileti matokeo.
arteta kazini kwake kuna kazi kweli!
arudi kusajili winger na CF proven ndio timu at least itaanza kusogea tartbu.
Yaan kama moyeziiii ndio atampiga mpaka akili imkae sawa