Rangooo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2022
- 308
- 510
Daah umenichekesha sana aiseeWatu wamechoka hata kufikiri
Daah umenichekesha sana aiseeWatu wamechoka hata kufikiri
We don't have a killer
Wachezaji kama saka wanahitaji washindani wao bench ili watunze ubora waoUnaona wanaojua kupiga wakina Anold
Sisi tunapiga kama una kidole matakoni manina zao
Kuna ukweli hapaKwa mwendo wa kutokufunga chance after chance after chance, ndugu yetu hamis aambiwe kabisa hatutoboi hata 16 bora UEFA
Kule hutengenezi chance after chanceKwa mwendo wa kutokufunga chance after chance after chance, ndugu yetu hamis aambiwe kabisa hatutoboi hata 16 bora UEFA