Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Saka ukimwangalia TU body language yake, inakuambia hayupo sawa.
Toa Saka, Nelson akae left wing, Tia Trossard.
Hii game naona kama Smith Rowe inamfaa
 
Hii timu hautakiwi uwe serious sana sometimes, ukipata kichance kidogo cha kutamba, unakitumia vizuri
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naangalia Movie [emoji440] Netflix sitaki headache tangia tulose game 2 mfululizo nimekata tamaa kabisa ya kuona Arsenal anabeba one among major trophy [emoji471] season hii nyie endeleeni kuburudika na football [emoji460]️
 
Ha haaaa haaaaaaaa safii
20240107_210958.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] naangalia Movie [emoji440] Netflix sitaki headache tangia tulose game 2 mfululizo nimekata tamaa kabisa ya kuona Arsenal anabeba one among major trophy [emoji471] season hii nyie endeleeni kuburudika na football [emoji460]️
Nina mda sana, sitaki hizi stress kabisa yani. Tumekuwa shyte kabisa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom