Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,257
- 76,834
Huyu jamaa ile attitude yake ndiyo ilimuondoa ila nilikua naona ana shida hizi hapaGuendouzi anakichafua na Bayern hapa
Stamina
Pace
Skills
Ball control
Silaha kubwa kwake ilikua fighting spirit na morali na kwa Arsenal ya kipindi kile ni yeye tu ndiye alikua na hii silaha.