Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

| Gabriel Jesus has suffered a knee injury, mail sport understands. The severity of the issue is unclear - but there is hope it will not be a long-term problem.

(@SamiMokbel81_DM)
 
Possible lineup
20240107_133018.jpg
 
kwenye eneo la kati la uwanja ni vema kama jorginho yupo fit.. waanze yeye ,rice pamoja na ø.
 
Asenyetoz nawasubiri kwa hamu leo mkung'utwe na majogoo
Hamis na genge lako ,leo tena kazi mnayo , tutakaza nzi humu
ole wako ukimbie na kujificha kwenye mapango ,tunataka uwe unashusha takwimu zako za kitapeli wakati mnapewa kisago na majogoo aka kuku vishingo
 
| Gabriel Jesus has suffered a knee injury, mail sport understands. The severity of the issue is unclear - but there is hope it will not be a long-term problem.

(@SamiMokbel81_DM)
Leo mtatembezewa Dozi si ya nchi hii
 
🚨 Arsenal XI: Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Kiwior; Jorginho, Rice, Ødegaard; Saka, Nelson, Havertz.
 
Arsenal XI: Ramsdale; White, Saliba, Gabriel, Kiwior; Jorginho, Rice, Ødegaard; Saka, Nelson, Havertz.
White nae anachezaga KICHOKO,binafsi Cedrick ni mzuri kuliko hata huyu White,ARTETA aache UCHOKO kumilikisha namba wachezaji kama Ben White wakati anachomeshaga tu
 
Back
Top Bottom