uKiwasikia maneno yao, unaona kabisa hizi kondoo kichwani kuna mafaili yanamisi.Odegard fundi zaidi
Alkifika peak ni zaidi ya KDB,,
Maneno ya walevi haya
Sema record yao Emirates inawahukumu kwahiyo wanapaswa kuja kwa nidhamu zaidi ili kulinda walichokipata vinginevyo mambo yanaweza kuwageukaChangamoto hii hapa
Msimu uliopita nani alijua Sporting atatusumbua?
Na atatutoa?
Mpaka sasa hivi kitakachotokea ni kwamba Porto atakuja anawaza mpira ule ule.
Basi na kaunta. No any other issue.
Watatukamata kwa kushtukiza wakicheza kwa nguvu angalau kwa dk 20 za kipindi cha kwanza.
Porto walidondoka kila walipoguswa. Kipa wao walimkanyaga wenyewe na bado refa akawa anaitafutia Arsenal pa kuichoma.
But hivyo ndivyo mpira wa CL ulivyo. Zile dondoka dondoka zote added time ni 4 minutes 😅
We were horrible
Unataka kutuaminisha nini kaka😂😂😂,
Kwani uongo?Odegard fundi zaidi
Alkifika peak ni zaidi ya KDB,,
Maneno ya walevi haya
Au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haka kababu katapewa Kai Havertz a.k.a miguu ya spoku za baiskeli asumbuane naye kipindi wakina Trossard wanafumua mishuti golini[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....wakikaa vbaya hawa 4 zitawahusu
Ila Asenyetoz , kwa kweli huwa mnanifurahisha sana ,majirani zanguHaka kababu katapewa Kai Havertz a.k.a miguu ya spoku za baiskeli asumbuane naye kipindi wakina Trossard wanafumua mishuti golini[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....wakikaa vbaya hawa 4 zitawahusu
Asenyetoz ni comediansWazee wa False hopes kwenye ubora wao.
Mmeshindwa kuwin msimu uliopita wakati mmeongoza ligi kwa siku 258 ndio mje kuwin msimu huu?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha kipindi ambacho Chelsea, Liverpool, Man Utd wanachechemea huku City ikiwa tiamaji tiamaji ndio mje kuwin msimu huu Liver na City gari limewaka?
Mmeshindwa kuwin msimu ulioisha wakati zimebaki mechi 8 kumalizika ligi nyinyi mnaongoza kwa points 8 mbele ya City alie nafasi ya pili, halafu imebaki mechi moja ligi kuisha City anaongoza kwa points 8 mbele yenu ndio mje mshinde msimu huu ambao kati anaeshika nafasi ya kwanza na wapili hakutakua na gape zaidi points 3?
Kweli nimeamini kua shabiki tu wa Arsenyau tayari unakua comedian by nature, ndugu yangu Masingeli kwa kutambua IQ yenu amewaambia muanze tu kushangilia kabisa maana Uefa msimu huu tayari ni mali halali ya Asenyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2909999