Bagabeach
JF-Expert Member
- Jun 30, 2021
- 1,392
- 2,879
Arsenal fans sio binadam kama sisi.Humu wamejaa comedian's watupu, ukiwa na stress zako halafu ukaingia humu utaishia kutabasamu kama sio kucheka kabisa halafu unajikuta umesahau shida zako kwa muda.
Uzuri Mungu hua hakunyimi vyote, akikunyima makombe basi anakupa mdomo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli Mungu yupo😅😅