Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyo kubeba Uefa labda baada ya vita kuu ya 3 ya dunia.Kinachonoudhi hapa ni liverpool nimeshuhudia wakibeba mara 2, manyumbu nimewashuhudia mara mbili, chelkenge nao na mancity makombe yote yao ni ya kizazi hiki hiki. Kwa hiyo hamu ya kuona arsenali inanyanyua hii kitu kabla ya kupata wajukuu ni kubwa.
Kwanza leo Newcastle tunajambo letu hapohapo maghetoni kwenu, kina Gordon, Joelinton, Almiron na Guimaraes wana hasira sana na nyinyi baada kuwagongo goli moja nyumbani kwao halafu mkasingizia kua refa amewabeba.
Arsenyau wanacheza leo halafu jukwaa lao limepoa kama vile wafiwa wapo kwenye maombolezo ya mpendwa wao.
Ukiona Arsenyo inacheza halafu kina Masingeli na chawa zake mkorea na arsenal2004 wamelikimbia jukwaa ujue tayari wameshanusa harafu ya kipigo cha mbwa koko hivyo usijisumbue kwenda kibanda umiza bora uchungulie tu matokea kwenye live score[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]